Add parallel Print Page Options

12 Na kama hauwezi kuaminiwa kwa vitu vya mtu mwingine, hautapewa vitu kwa ajili yako wewe mwenyewe.

13 Mtumwa hawezi kuwatumikia mabwana wawili wakati mmoja, hata ninyi hamwezi. Utamchukia mmoja na kumpenda mwingine, au utakuwa mwaminifu kwa mmoja na hautamjali mwingine. Pia, huwezi kumtumikia Mungu na pesa.”[a]

Sheria Ya Mungu Haiwezi Kubadilishwa

(Mt 11:12-13)

14 Mafarisayo walikuwa wakiyasikiliza mambo haya yote. Walimdhihaki Yesu kwa sababu wote walipenda pesa.

Read full chapter

Footnotes

  1. 16:13 pesa Au “mamona”, neno la Kiaramu linalomaanisha “utajiri”.