Font Size
Luka 17:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 17:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
17 Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Majaribu yanayowafanya watu watende dhambi hayana budi kuwepo. Lakini ole wake mtu yule anayeyasababisha. 2 Ingekuwa nafuu kama mtu huyo angefungiwa jiwe zito shingoni na kuzamishwa baharini kuliko kumfanya mmoja wa hawa wadogo atende dhambi. 3 Kwa hiyo, jihadharini. Ndugu yako akikukosea mwonye; akiomba msamaha, msamehe.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica