Add parallel Print Page Options

13 Lakini watu wale wakaita kwa kupaza sauti wakisema, “Yesu! Mkuu! Tafadhali utusaidie!”

14 Yesu alipowaona, akasema, “Nendeni mkajioneshe kwa makuhani.”[a]

Wale watu kumi walipokuwa wanakwenda kujionesha kwa makuhani, waliponywa. 15 Mmoja wao alipoona kuwa amepona, alirudi kwa Yesu huku akimsifu Mungu kwa kupaza sauti.

Read full chapter

Footnotes

  1. 17:14 mkajioneshe kwa makuhani Sheria ya Musa ilisema kwamba, kuhani ndiye anayeamua ikiwa mtu mwenye ukoma amepona ukoma wake.