Font Size
Luka 17:16-18
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 17:16-18
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
16 Akaanguka kifudifudi miguuni pa Yesu, akamshukuru. (Alikuwa Msamaria.) 17 Yesu akasema, “Watu kumi wameponywa, wengine tisa wako wapi? 18 Mtu huyu wala si mmoja wa watu wetu. Ni yeye peke yake aliyerudi kumsifu Mungu?”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International