Font Size
Luka 17:35-37
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 17:35-37
Neno: Bibilia Takatifu
35 Wana wake wawili watakuwa wanatwanga pamoja; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.” [ 36 Wanaume wawili watakuwa wanafanya kazi pamoja shambani; mmoja atachukuliwa na mwingine ataachwa.] 37 Wakamwuliza, “Haya yatatokea wapi Bwana?” Akawaambia, “Pale ulipo mzoga, ndipo tai wanapokutanika.” Mfano Wa Hakimu Dhalimu
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica