Font Size
Luka 17:5-7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 17:5-7
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Imani Yako Ni Kubwa Kiasi Gani?
5 Kisha mitume wakamwambia Bwana, “Tuongezee imani.”
6 Bwana akasema, “Imani yenu ingekuwa kubwa kama mbegu ya haradali, mngeuambia mforosadi huu, ‘Ng'oka, ukajipandikize baharini,’ nao ungewatii.
Iweni Watumishi Wema
7 Chukulia mmoja wenu ana mtumishi ambaye amekuwa shambani akilima au akichunga kondoo shambani. Akirudi kutoka shambani au machungani, utamwambia nini? Je, utamwambia, ‘Njoo ndani, keti, ule chakula’?
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International