Font Size
Luka 18:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 18:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 Lakini yule mtoza ushuru alisimama mbali. Hakuthubutu hata kuinua uso wake kutazama mbinguni; bali alijipiga kifuani kwa majuto akasema, ‘Mungu, nihurumie, mimi mwenye dhambi.’
14 Nawaambieni, huyu mtoza ushuru alirudi nyumbani akiwa amehesabiwa haki mbele za Mungu na wala si yule Farisayo. Kwa maana ye yote ajikwezaye atashushwa na ye yote ajinyenyekezaye, atainuliwa.”
Yesu Awabariki Watoto Wadogo
15 Watu wakamletea Yesu watoto wao wachanga ili awaguse. Wanafunzi walipowaona, wakawakemea.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica