Font Size
Luka 18:6-8
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 18:6-8
Neno: Bibilia Takatifu
6 Bwana akasema, “Mnasikia asemavyo huyu hakimu dhalimu. 7 Na Mungu je, hatawatendea haki watu wake wanaomlilia mchana na usiku? Je, atakawia kuwapa msaada? 8 Nina waambieni atahakikisha amewatendea haki upesi. Lakini je, mimi Mwana wa Adamu nitakaporudi duniani nitakuta watu wanadumu katika imani?”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica