Font Size
Luka 18:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 18:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
7 Daima Mungu atawapa mahitaji yao wateule wanaomwomba usiku na mchana. Hatachelewa kuwajibu. 8 Ninawaambia, Mungu atawapa haki yao watu wake haraka. Lakini Mwana wa Adamu atakaporudi, atawakuta duniani watu ambao bado wanamwamini?”
Farisayo na Mtoza Ushuru
9 Walikuwepo baadhi ya watu waliojiona kuwa wenye haki na waliwadharau wengine. Yesu alitumia simulizi hii kuwafundisha:
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International