Font Size
Luka 19:39-41
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 19:39-41
Neno: Bibilia Takatifu
39 Baadhi ya Mafarisayo waliokuwemo katika umati wakamwambia, “Mwalimu, wanyamazishe wanafunzi wako.” 40 Yesu akawajibu, “Nawaambia, hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele.”
Yesu Anaulilia Mji Wa Yerusalemu
41 Alipokaribia Yerusalemu, akauona mji, aliulilia,
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica