Font Size
Luka 19:39-41
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 19:39-41
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
39 Baadhi ya Mafarisayo waliokuwa katika kundi wakamwambia Yesu, “Mwalimu, waambie wafuasi wako wasiseme mambo haya!”
40 Lakini Yesu akawajibu, “Ninawaambia ikiwa wafuasi wangu wasingesema, mawe haya yangesema kwa kupaza sauti!”
Yesu Aulilia Mji wa Yerusalemu
41 Yesu alipoukaribia mji wa Yerusalemu, akautazama kisha akaanza kuulilia,
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International