40 Yesu akawajibu, “Nawaambia, hawa wakinyamaza, mawe yatapiga kelele.”

Yesu Anaulilia Mji Wa Yerusalemu

41 Alipokaribia Yerusalemu, akauona mji, aliulilia,

42 akasema, “Laiti ungalijua leo jinsi ya kupata amani! Lakini sasa huoni!

Read full chapter