Add parallel Print Page Options

12 Na hivi ndivyo mtakavyomtambua: Mtamkuta mtoto mchanga amevingirishiwa nguo na amelala katika hori la kulishia mifugo.”

13 Kisha malaika pamoja na jeshi kubwa la mbinguni wakaanza kumsifu Mungu, wakisema:

14 “Atukuzwe Mungu juu mbinguni,
    na amani iwepo duniani
    kwa watu wote wanaompendeza.”

Read full chapter