Font Size
Luka 20:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 20:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Akampeleka wa tatu; wakamjeruhi na kumtupa nje ya shamba.
13 “Basi yule mwenye shamba la mizabibu akasema, ‘Nifanye nini? Nitamtuma mwanangu nimpendaye, bila shaka yeye watamhesh imu.’ 14 Lakini wale wakulima walipomwona, wakashauriana, ‘Huyu ndiye mrithi, hebu tumwue ili sisi turithi hili shamba.’
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica