Font Size
Luka 20:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 20:7-9
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
7 Hivyo wakajibu, “Hatujui.”
8 Ndipo Yesu akawaambia, “Hata mimi sitawaambia ni nani alinipa mamlaka kufanya mambo haya.”
Yesu Atoa Simulizi Kuhusu Shamba la Mzabibu
(Mt 21:33-46; Mk 12:1-12)
9 Yesu akawaambia watu kisa hiki; “Mtu mmoja alipanda shamba la mizabibu. Kisha akalikodisha kwa wakulima, kisha akasafiri kwa muda mrefu.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International