Font Size
Luka 20:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 20:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
8 Yesu akawaambia, “Na mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani ninafanya mambo haya.’ ’
Mfano Wa Shamba La Mizabibu Na Wakulima
9 Akaendelea kuwaambia watu mfano huu: “Mtu mmoja alipanda mizabibu katika shamba lake, akalikodisha kwa wakulima fulani, kisha akasafiri kwa muda mrefu. 10 Wakati wa mavuno akamtuma mtumishi kwa hao wakulima aliowakodisha shamba ili wampatie sehemu ya mavuno. Lakini wale wakulima wakampiga na kumfukuza mikono mitupu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica