Add parallel Print Page Options

Petro Atajaribiwa na Kushindwa

(Mt 26:31-35; Mk 14:27-31; Yh 13:36-38)

31 Shetani ameomba ili awapepete kwa nguvu kama mkulima anavyopepeta ngano kwenye ungo ili mwanguke. Simoni, Simoni,[a] 32 nimekuombea ili usipoteze imani yako! Wasaidie ndugu zako kuwa imara utakaponirudia.”

33 Lakini Petro akamwambia Yesu, “Bwana, niko tayari kufungwa gerezani pamoja nawe. Hata kufa pamoja nawe!”

Read full chapter

Footnotes

  1. 22:31 Simoni Jina jingine la Simoni lilikuwa Petro.