Font Size
Luka 22:35-37
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 22:35-37
Neno: Bibilia Takatifu
Kujiandaa Wakati Wa Hatari
35 Kisha Yesu akawauliza, “Nilipowatuma mwende bila mfuko, wala mkoba wala viatu, mlipungukiwa na kitu?” Wakajibu, “La.” 36 Akawaambia, “Lakini sasa, aliye na mfuko au mkoba auchukue. Asiye na upanga, auze koti lake anunue upanga. 37 Kwa sababu, nawambieni, yale Maandiko yaliyosema kwamba ‘Alihesabiwa pamoja na wahalifu’ yananihusu mimi na hayana budi kutimizwa. Naam, yale yaliyoandikwa kunihusu mimi yanatimia.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica