Font Size
Luka 22:41-43
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 22:41-43
Neno: Bibilia Takatifu
41 Akaenda mbali kidogo nao, kama umbali anaoweza mtu kutupa jiwe, akapiga magoti, akaomba 42 akisema, “Baba, kama ni mapenzi yako, niondolee kikombe hiki cha mateso. Lakini si kwa mapenzi yangu, bali mapenzi yako yafanyike.” [ 43 Malaika kutoka mbinguni akamtokea, akamtia nguvu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica