Add parallel Print Page Options

62 Kisha Petro akatoka nje na kulia kwa uchungu.

Walinzi Wamdhalilisha Yesu

(Mt 26:67-68; Mk 14:65)

63 Walinzi waliokuwa wanamlinda Yesu walimfanyia mizaha na kumpiga. 64 Wakayafunika macho yake ili asiwaone. Kisha wakampiga na wakasema, “Tabiri, tuambie nani amekupiga!”

Read full chapter