Font Size
Luka 22:65-67
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 22:65-67
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
65 Walimtukana pia matusi ya kila aina.
Yesu Akiwa Mbele ya Viongozi wa Kidini
(Mt 26:59-66; Mk 14:55-64; Yh 18:19-24)
66 Alfajiri, viongozi wazee wa watu, viongozi wa makuhani na walimu wa sheria walikusanyika. Walimpeleka Yesu kwenye baraza lao kuu. 67 Wakamwambia, “Tuambie ikiwa wewe ni Masihi.”
Yesu akawaambia, “Hamtaniamini ikiwa nitawaambia kuwa mimi ni Masihi.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International