Add parallel Print Page Options

Yesu Akiwa Mbele ya Viongozi wa Kidini

(Mt 26:59-66; Mk 14:55-64; Yh 18:19-24)

66 Alfajiri, viongozi wazee wa watu, viongozi wa makuhani na walimu wa sheria walikusanyika. Walimpeleka Yesu kwenye baraza lao kuu. 67 Wakamwambia, “Tuambie ikiwa wewe ni Masihi.”

Yesu akawaambia, “Hamtaniamini ikiwa nitawaambia kuwa mimi ni Masihi. 68 Na ikiwa nitawauliza swali, hakika mtakataa kunijibu.

Read full chapter