Font Size
Luka 22:68-70
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 22:68-70
Neno: Bibilia Takatifu
68 na nikiwauliza swali, hamtanijibu. 69 Lakini hivi karibuni, mimi Mwana wa Adamu nita kaa upande wa kulia wa Mungu Mwenyezi.” 70 Wote wakasema, “Ndio kusema wewe ndiye Mwana wa Mungu?” Akawajibu, “Ninyi ndio mmesema kwamba Mimi ndiye.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica