Font Size
Luka 23:54-56
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 23:54-56
Neno: Bibilia Takatifu
54 Siku hiyo ilikuwa Ijumaa, Siku ya Maandalizi, na sabato ilikuwa karibu ianze. 55 Wale wanawake waliokuwa wamefuatana na Yesu kutoka Galilaya wakamfuata Yusufu, wakaliona kaburi na jinsi mwili wa Yesu ulivyolazwa humo. 56 Kisha wakarudi nyumbani wakaandaa marashi na manukato ya kuupaka huo mwili. Lakini waka pumzika siku ya sabato kama ilivyoamriwa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica