Font Size
Luka 7:46-48
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 7:46-48
Neno: Bibilia Takatifu
46 Hukunipaka mafuta kichwani kama ilivyo desturi lakini huyu mwanamke ameipaka miguu yangu manukato. 47 Kwa hiyo nakuambia, upendo mkubwa aliouonyesha huyu mama unathibitisha kuwa dhambi zake ambazo ni nyingi zimesamehewa. Lakini ye yote asamehewaye kidogo, huonyesha upendo kidogo.”
48 Akamwambia yule mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica