Font Size
Luka 7:47-49
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 7:47-49
Neno: Bibilia Takatifu
47 Kwa hiyo nakuambia, upendo mkubwa aliouonyesha huyu mama unathibitisha kuwa dhambi zake ambazo ni nyingi zimesamehewa. Lakini ye yote asamehewaye kidogo, huonyesha upendo kidogo.”
48 Akamwambia yule mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.” 49 Ndipo wale wageni wengine waliokuwepo wakaanza kuulizana, “Hivi huyu ni nani, hata aweze kusamehe dhambi?”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica