Font Size
Luka 7:47-49
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Luka 7:47-49
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
47 Ninakwambia kuwa dhambi zake zilizo nyingi zimesamehewa. Hii ni wazi, kwa sababu ameonesha upendo mkubwa. Watu wanaosamehewa kidogo hupenda kidogo.”
48 Kisha akamwambia mwanamke, “Dhambi zako zimesamehewa.”
49 Watu waliokaa naye sehemu ya chakula wakaanza kusema mioyoni mwao, “Mtu huyu anadhani yeye ni nani? Anawezaje kusamehe dhambi?”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International