Font Size
Luka 8:3-5
Neno: Bibilia Takatifu
Luka 8:3-5
Neno: Bibilia Takatifu
4 Watu wengi walimiminika kutoka katika kila mji na umati mkubwa ulipokusanyika, Yesu akawaambia mfano huu: 5 “Mkulima mmoja alikwenda shambani kwake kupanda mbegu. Alipokuwa akitawa nya mbegu, nyingine zilianguka njiani zikakanyagwa kanyagwa; na ndege wakazila.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica