“Mkulima mmoja alikwenda shambani kwake kupanda mbegu. Alipokuwa akitawa nya mbegu, nyingine zilianguka njiani zikakanyagwa kanyagwa; na ndege wakazila. Na mbegu nyingine zilianguka penye miamba na zilipomea zikakauka kwa kukosa unyevu. Na mbegu nyingine zil ianguka kwenye miiba, ikazisonga zikafa.

Read full chapter