Na mbegu nyingine zilianguka penye miamba na zilipomea zikakauka kwa kukosa unyevu. Na mbegu nyingine zil ianguka kwenye miiba, ikazisonga zikafa. Mbegu nyingine zilian guka penye udongo mzuri, nazo zikamea na kutoa mazao mara mia zaidi ya mbegu alizopanda.” Baada ya kutoa mfano huu akasema: “Mwenye nia ya kusikia na asikie!”

Read full chapter