Wanafunzi wake wakamwuliza maana ya mfano huu. 10 Naye akawajibu, “Ninyi mmejaliwa kufahamu siri za Ufalme wa Mungu, lakini kwa wengine nazungumza kwa mifano ili, ‘Kuangalia waan galie lakini wasione, kusikia wasikie, lakini wasielewe.’ 11 Maana ya mfano huu ni hii: Mbegu ni neno la Mungu.

Read full chapter