Font Size
Marko 13:18-20
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 13:18-20
Neno: Bibilia Takatifu
18 Ombeni mambo haya yasitokee wakati wa masika. 19 Kwa maana siku hizo itaku wapo dhiki kuu ambayo haijapata kutokea tangu dunia ilipoumbwa, wala haitatokea tena. 20 Na kama Bwana hakuufupisha muda huo wa dhiki, hakuna mtu ambaye angesalimika; lakini kwa ajili ya watu wake aliowachagua, ameufupisha muda huo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica