Font Size
Marko 13:25-27
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 13:25-27
Neno: Bibilia Takatifu
25 Nyota zitaanguka kutoka mbinguni na nguvu za anga zitatikisika. 26 Ndipo watu wote wataniona mimi Mwana wa Adamu nikija katika mawingu kwa nguvu nyingi na utu kufu. 27 Nami nitawatuma malaika wawakusanye watu wangu kutoka pande zote nne za dunia, kutoka mwisho wa nchi hadi mwisho wa mbi ngu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica