Font Size
Marko 13:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 13:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
27 Nami nitawatuma malaika wawakusanye watu wangu kutoka pande zote nne za dunia, kutoka mwisho wa nchi hadi mwisho wa mbi ngu.
28 “Sasa jifunzeni jambo hili kutoka kwa mtini: mwonapo matawi ya mtini yakianza kulainika na kutoa majani, mnatambua kwamba wakati wa kiangazi umekaribia. 29 Hali kadhalika mtaka poyaona mambo haya yanatokea, tambueni kwamba mimi Mwana wa Adamu, ni karibu kuja.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica