Font Size
Marko 13:30-32
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 13:30-32
Neno: Bibilia Takatifu
30 Ninawaambieni hakika, kizazi hiki hakitapita kabla ya mambo haya kutokea. 31 Mbingu na nchi zita toweka, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.”
Hakuna Ajuaye Siku Wala Saa
32 “Hakuna ajuaye siku hiyo itakuwa lini au saa ngapi; hata malaika mbinguni hawajui wala mimi Mwana sijui, isipokuwa Mungu Baba peke yake.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica