Font Size
Marko 14:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
11 Walifurahishwa sana na habari hizi, wakaahidi kumlipa fedha. Kwa hiyo yeye akaanza kutafuta nafasi nzuri ya kumsaliti.
Yesu Anakula Pasaka Na Wanafunzi Wake
12 Siku ya kwanza ya sherehe ya Mikate isiyotiwa chachu siku ambayo kondoo wa Pasaka huchinjwa, wanafunzi wake walimwuliza Yesu, “Unapenda tukuandalie wapi chakula cha Pasaka?” 13 Aka watuma wanafunzi wawili akawaagiza, “Nendeni mjini. Huko mtaku tana na mwanamume amebeba mtungi wa maji. Mfuateni,
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica