Font Size
Marko 14:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
14 na pale atakapoingia, mwambieni mwenye nyumba, ‘Mwalimu anasema hivi, kiko wapi chumba ambamo nitakula Pasaka pamoja na wanafunzi wangu?’ 15 Atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani kilichopangwa tayari. Tuandalieni humo.” 16 Wale wanafunzi walikwenda mjini wakakuta kila kitu kama alivyowaambia; wakaandaa chakula cha Pasaka.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica