Font Size
Marko 14:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
16 Wale wanafunzi walikwenda mjini wakakuta kila kitu kama alivyowaambia; wakaandaa chakula cha Pasaka. 17 Ilipofika jioni, Yesu akaja pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili. 18 Walipokuwa mezani wakila, akawaambia, “Ninawaam bia hakika, mmoja wenu anayekula pamoja nami, atanisaliti.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica