Font Size
Marko 14:18-20
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:18-20
Neno: Bibilia Takatifu
18 Walipokuwa mezani wakila, akawaambia, “Ninawaam bia hakika, mmoja wenu anayekula pamoja nami, atanisaliti.” 19 Wote wakasikitika. Wakamwuliza mmoja mmoja, “Ni mimi, Bwana?” 20 Akawajibu, “Ni mmoja wenu kumi na wawili, yule anayechovya kipande chake cha mkate kwenye bakuli pamoja nami.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica