Font Size
Marko 14:34-36
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 14:34-36
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
34 Akawaambia, “Nina huzuni sana na ninafikiri inaweza kuniua. Kaeni hapa, na mjihadhari.”
35 Akiendelea mbele kidogo, alianguka chini, na akaomba ikiwezekana angeiepuka saa ya mateso. 36 Akasema, “Aba,[a] yaani Baba, vyote vinawezekana kwako wewe. Hebu kiondoe kikombe[b] hiki kutoka kwangu, Lakini usifanye kama ninavyopenda mimi, lakini kama unavyopenda wewe.”
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International