Font Size
Marko 14:35-37
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 14:35-37
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
35 Akiendelea mbele kidogo, alianguka chini, na akaomba ikiwezekana angeiepuka saa ya mateso. 36 Akasema, “Aba,[a] yaani Baba, vyote vinawezekana kwako wewe. Hebu kiondoe kikombe[b] hiki kutoka kwangu, Lakini usifanye kama ninavyopenda mimi, lakini kama unavyopenda wewe.”
37 Kisha Yesu akaja na kuwakuta wamelala, na akamwuliza Petro, “Simoni, je umelala? Je, hukuweza kukaa macho kwa muda wa saa moja tu?
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International