Font Size
Marko 14:36-38
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:36-38
Neno: Bibilia Takatifu
36 Akasema, “Aba, Baba, mambo yote yawezekana kwako. Tafadhali niondolee kikombe hiki cha mateso. Lakini si kama nitakavyo mimi, bali mapenzi yako yatimizwe.” 37 Akarudi, akakuta wame lala. Akamwambia Petro, “Simoni, umelala? Hukuweza kukesha hata kwa saa moja? 38 Kesheni na kuomba msije mkaingia katika majar ibu. Roho i radhi lakini mwili ni dhaifu.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica