Font Size
Marko 14:37-39
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 14:37-39
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
37 Kisha Yesu akaja na kuwakuta wamelala, na akamwuliza Petro, “Simoni, je umelala? Je, hukuweza kukaa macho kwa muda wa saa moja tu? 38 Kaeni macho na kuomba, ili msije mkaingia majaribuni. Roho inataka lakini mwili ni dhaifu.”
39 Yesu akaondoka kwenda kuomba tena, akilisema jambo lile lile.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International