Font Size
Marko 14:41-43
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:41-43
Neno: Bibilia Takatifu
41 Aliporudi mara ya tatu aliwaambia, “ Bado mmelala na kupumzika? Imetosha! Saa imefika. Mimi Mwana wa Adamu ninatiwa mikononi mwa wenye dhambi. 42 Amkeni twendeni, tazameni, yule ambaye amenisaliti amekaribia.”
Yesu Akamatwa
43 Yesu alipokuwa bado anazungumza, Yuda, mmoja wa wale wanafunzi kumi na wawili, akafika pamoja na umati wa watu wenye mapanga na marungu. Watu hao walikuwa wametumwa na makuhani wakuu, waandishi, na wazee.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica