Font Size
Marko 14:46-48
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:46-48
Neno: Bibilia Takatifu
46 Wakamkamata Yesu, wakamweka chini ya ulinzi. 47 Lakini mmoja wa wale waliokuwa wamesimama hapo aka chukua upanga akampiga mtumishi wa kuhani mkuu, akamkata sikio. 48 Kisha Yesu akasema, “Mbona mmekuja kunikamata kwa mapanga na marungu? Kwani mimi ni jambazi?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica