Font Size
Marko 14:46-48
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 14:46-48
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
46 Ndipo walipomkamata na kumshikilia. 47 Mmoja wa wale waliosimama naye karibu akautoa upanga wake alani, akampiga nao mtumishi wa kuhani mkuu na kulikata sikio lake.
48 Kisha Yesu akawaambia, “Je, mlikuja kunikamata kwa upanga na marungu, kama vile mimi nimekuwa jambazi?
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International