Font Size
Marko 14:51-53
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:51-53
Neno: Bibilia Takatifu
51 Kijana mmoja aliyekuwa amevaa shuka tu alikuwa akimfuata Yesu. Walipomkamata, 52 alikimbia uchi, akaacha shuka lake.
Yesu Afikishwa Barazani
53 Kisha wakampeleka Yesu nyumbani kwa kuhani mkuu ambapo makuhani wakuu, wazee, na walimu wa sheria walikuwa wamekuta nika.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica