Font Size
Marko 14:51-53
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 14:51-53
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
51 Miongoni mwa watu waliomfuata Yesu alikuwa kijana mmoja aliyevaa kipande cha nguo. Watu walipotaka kumkamata 52 alikiacha kile kipande cha nguo mikononi mwao na kukimbia akiwa uchi.
Yesu Akiwa Mbele ya Viongozi wa Kidini
(Mt 26:57-68; Lk 22:54-55,63-71; Yh 18:13-14,19-24)
53 Nao wakamwongoza Yesu kumpeleka kwa kuhani mkuu, na viongozi wote wa makuhani, wazee, na walimu wa Sheria walikutanika.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International