Font Size
Marko 14:53-55
Neno: Bibilia Takatifu
Marko 14:53-55
Neno: Bibilia Takatifu
Yesu Afikishwa Barazani
53 Kisha wakampeleka Yesu nyumbani kwa kuhani mkuu ambapo makuhani wakuu, wazee, na walimu wa sheria walikuwa wamekuta nika. 54 Petro aliwafuata kwa mbali, akaingia barazani kwa kuhani mkuu, akaketi pamoja na walinzi akiota moto. 55 Makuhani wakuu na wajumbe wote wa Baraza walijaribu kutafuta ushahidi wa kumshtaki Yesu ili wapate kumwua, lakini hawakupata.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica