Font Size
Marko 14:58-60
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Marko 14:58-60
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
58 “Tulimsikia mtu huyu[a] akisema, ‘Nitaliharibu Hekalu hili lililotengenezwa kwa mikono ya wanadamu, na kwa siku tatu nitajenga lingine ambalo halikujengwa kwa mikono.’” 59 Lakini hata katika ushahidi wao huu hawakukubaliana.
60 Kisha kuhani mkuu akasimama mbele yao na akamwuliza Yesu, “Je, wewe hutajibu? Nini ushahidi huu ambao watu wanaleta dhidi yako?”
Read full chapterFootnotes
- 14:58 mtu huyu Yaani, Yesu. Adui zake walikuwa wanakwepa kutamka jina lake.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International